Posts

Available Services

Image

Birthday Flyers

Image

LLB NOTES ON TRUST LAW

Trust law In common law legal systems, a trust is an arrangement whereby property (including real, tangible and intangible) is managed by one person (or persons, or organizations) for the benefit of another. A trust is created by a settlor (or feoffor to uses), who entrusts some or all of their property to people of their choice (the trustees or feoffee to uses). The trustees hold legal title to the trust property (or trust corpus), but they are obliged to hold the property for the benefit of one or more individuals or organizations (the beneficiary, cestui que use, or cestui que trust), usually specified by the settlor, who hold equitable title. The trustees owe a fiduciary duty to the beneficiaries, who are the "beneficial" owners of the trust property. The trust is governed by the terms of the trust document, which is usually written and occasionally set out in deed form. It is also governed by local law. The trustee is obliged to administer the trust in accorda...

vidyadhar-girdharal-chavda-v-the-director-of-immigration-services-and-others-1995-tlr-125.

https://cavyvannygmail.files.wordpress.com/2018/03/vidyadhar-girdharal-chavda-v-the-director-of-immigration-services-and-others-1995-tlr-125.docx

Festo Balegele and 794 others

https://cavyvannygmail.wordpress.com/2018/03/28/festo-balegele-and-794-others/

Tanzania na Burundi miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani kwa mujibu wa UN 2018

Image
Tanzania, Burundi na Rwanda zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani katika orodha ya kila mwaka ya Umoja wa Mataifa kuhusu viwango vya furaha duniani. Burundi ndilo taifa ambalo wakazi wake hawana furaha zaidi duniani katika nafasi ya 156 ambapo imechukua nafasi hiyo kutoka kwa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) iliyokuwa inashikilia nafasi hiyo mwaka jana. CAR ndiyo inayoifuata Burundi katika orodha ya mwaka huu. Tanzania imeshika nafasi ya 153 sawa na mwaka jana huku Rwanda pia ikishikilia nafasi ya 151 sawa na mwaka jana kati ya mataifa 156. Orodha ya mwaka jana hata hivyo ilishirikisha mataifa 155. Taifa linaloongoza kwa furaha duniani mwaka huu ni Finland, kwa mujibu wa ripoti hiyo ya UN ambapo nchi hiyo imechukua nafasi hiyo kutoka kwa Norway. Ripoti hiyo huangazia furaha waliyo nayo watu wa taifa furahi na chanzo cha furaha hiyo. Mataifa ya Ulaya Kaskazini yanashikilia nafasi tano za juu kwa kuwa na viwango vya juu vya raia wal...