Tabia za Watu na Alama za Nyota
Tabia za Watu na Alama za Nyota Alama za nyota zinabashiri tabia na haiba ya binadamu katika dunia. Mpangilio au nafasi ya sayari katika mzunguko wake angani unaaminika kuleta athari kwa binadamu na matukio katika dunia. Kuna alama 12 za kiastrolojia. Kila moja ina mvuto wa nguvu wa kipekee toka katika nyota. Alama hizi ni kama ifuatavyo: Samaki (Pisces):Feb 19 – Machi 20 Kondoo (Aries): Machi 21 – Aprili 19 Ng’ombe (Taurus): Aprili 20 – Mei 21 Mapacha :(Gemini ): Mei 22 – Juni 20 Kaa (Cancer): Juni 21 – Julai 22 Simba (Leo): Julai 23 – Agosti 22 Mashuke (Virgo):Agosti 23 – Sept 22 Mizani (Libra): Sept 23 – Okt 22 Ng’e (Scorpio): Okt 24- Nov 21 Mshale (Sagittarius): Nov 22- Des 21 Mbuzi (Capricorn):Des 22 – Jan 19 Ndoo (Aquarius):Jan 20 – Feb 18 Makundi ya Alama za Nyota: Alama hizi 12 za nyota zinagawanyika katika elementi 4 zijulikanazo kama: Moto: Yenye matamanio ya mafanikio au makuu,dadisi Maji: Yenye kubadilika ...
Comments
Post a Comment