Mbwa amzuia mshambuliaji wa kujitoa mhanga Nigeria

Inaarifiwa kuwa mwanamke huyo alijaribu kuingia katika sherehe hiyo ya harusi, kwa mujibu wa kituo cha redio cha jeshi.

Mbwa huyo pamoja na mshambuliaji wa kujitoa mhanga wote walikufa wakati msichana huyo alilipua bomu alipokuwa akimkimbia mbwa huyo.Polisi wanasema kuwa mbwa huyo alimilikiwa na mwenyeji ambapo wa eneo mabapo sherehe hiyo ya harusi ilikuwa ikifanyika.
Comments
Post a Comment