Rais Zuma aponea shinikizo za kumtaka ajiuzulu

Kitengo hicho kilikua kinatathmini malalamiko kutoka kwa maafisa wa vyeo vya juu wa ANC, kuwa Jacob Zuma hakuwaomba ushauri wao wakatia wa mabadiliko kwenye baraza la mawaziri.
Baada ya kuyatathmini malalamiko hayo, ANC imeamu kuwa haitashinikiza kujiuzulu kwa bwana Zuma, kwa mujibu wa maafisa wa chama.Bwana Zuma amekuwa akikumbwa na shinikizo kali tangu amfute kazi waziri wa fedha aliyekuwa akiheshimiwa Pravin Gordhan.


Washirika wakubwa wa ANC kikiwemo chama cha SACP na cha Cosatu, walijiunga katika wito wa kumtaka Zuma ajiuzuku.
Read more.........
Comments
Post a Comment