Posts
Showing posts from March, 2017
KAULI YA MNYIKA JUU YA MAAMUZI YA RAISI MAGUFULI KUMWACHIA NAY WA MITEGO
- Get link
- X
- Other Apps
Aliyemfunga mbwa wake mdomo atupwa jela miaka 5
- Get link
- X
- Other Apps
Mwanamume mmoja raia wa Marekani ambaye alifunga mbwa wake kwenye mdomo, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela. William Dodson, mwenye umri wa miaka 43, anasema alimfunga mbwa huyo mdomoni kwa sababu alibweka sana. Ililazimu mbwa huyo kufanyiwa upasuaji mara kadha baada ya kupoteza sehemu ya ulimi wake.
Nay wa Mitego afunguka baada ya kutoka rumande kwa siku kadhaa
- Get link
- X
- Other Apps
Askofu Gwajima kutoka kanisa la Ufunuo na uzima Ubungo
- Get link
- X
- Other Apps
Taarifa kutoka police kuhusu kukamatwa kwa Nay wa Mitego
- Get link
- X
- Other Apps
Watu kadha wapigwa risasi kwenye klabu nchini Marekani
- Get link
- X
- Other Apps
Watu kadha wapigwa risasi kwenye klabu nchini Marekani Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha Image caption Mtu mmoja ameuawa na wengine 14 kujeruhiwa kufuatia ufyatuaji wa risasi kwenye klabu ya usiku huko Cincinati jimbo la Ohio. Takriban watu wawili waliokuwa na silaha walitekeleza shambulizi kwa mujibu wa polisi. Watu kadha walipata majeraha mabaya. "Tuko kati kati ya hali mbaya alisema mkuu wa polisi" Paul Neudigate. Kapteni wa polisi Kimberly Williams alisema kuwa polisi hawana taraifa kuhusu washambuliaji hao. Hadi wakati huu kile kilochosababisha kutokea ufyatuaji huo bado hakijulikani. Ufyatuaji huo ulitokea saa 05:00 GMT wakati mamia ya wtu walikuwa eneo hilo. Kisa hicho kinatokea chini ya mwaka baada ya Omar Mateen, kufyatua risasi kwenye klabu ya wapenzi wa jinsia moja mjini Orlando huko Florida. Mateen aliwaua watu 49 katika kisa ya kibaya zaidi cha ufyatuaji risasi katika historia ya Marekani.
Aliye andaa report ya kuvamiwa Clouds amjibu Magufuli
- Get link
- X
- Other Apps
Samatta kuinua Taifa Stars kwa Magoli 2 - 0 dhidi ya Bostwana
- Get link
- X
- Other Apps
Mfahamu mtanzania anaye cheza Uingereza na amekuja kuichezea Taifa Stars
- Get link
- X
- Other Apps
Wanaume wakutana White House 'kujadili wanawake' Marekani
- Get link
- X
- Other Apps
Picha kama hii si geni na inafahamikana huenda ingeweza kuchukuliwa katika vyumba mbali mbali vya mikutano katika maeneo mbali mbali duniani - wanaume wakiwa wamezunguka meza wakipanga mipango na kujadili mkataba Lakini ukosefu wa wanawake hapa, miongoni mwa kundi la wahafidhina wa Republican wakijadili mswada wa afya na makamu wa rais, ni suala la kushangaza. Hii ni kwa sababu moja ya mambo yaliyojadiliwa ilikuwa ni ikiwa muswada huo unapaswa kuweka sharti kwamba mipango ya bima ya afya itoe "faida muhimu" zikiwemo huduma za uzazi. Mwezi Januari, Ikulu ya White House ilikabiliwa na ukosoaji mkubwa pale Rais Trump alipo saini mswada wa utoaji mimba akiwa amezingirwa na wanaume. Si ajabu kwamba wengi walianza kulalamika punde makamu wa rais Mike Pence alipotuma picha kupitia Twitter, yenye ujumbe: "Nashukuru kujiunga na @POTUS kwa mkutano na Freedom Caucus tena leo. picha hii. #PitishaMswada" Seneta wa chama cha Democratic Pat Murray alikuwa mmoja wa watu...
Wahamiaji 200 wafa maji bahari ya Mediterranean
- Get link
- X
- Other Apps
Wahamiaji zaidi ya 200 wanahofiwa kufariki baada ya boti lao kuzama kwenye bahari karibu na pwani ya Libya, shirika moja la Uhispania limesema. Shirika hilo, Proactiva Open Arms, limesema maafisa wake walipata miili mitano ikielea karibu na boti mbili zilizokuwa zimezama, na ambazo zina uwezo wa kubeba zaidi ya watu 100 kila moja. Afisa wa shirika hilo Laura Lanuza amesema miili ya watu hao watano waliyofanikiwa kuitoa baharini inaonesha walikuwa wanaume wa umri mdogo. Msemaji wa kikosi cha majini cha Italia, ambacho huratibu shughuli za uokoaji, amethibitisha vifo vya watano hao. Hata hivyo, amesema hawawezi kuthibitisha makadirio idadi ya waliofariki, kama yalivyotolewa na Proactiva kwa kuwa hawakupokea vilio vyovyote vya watu wakiomba msaada. Bi Lanuza hata hivyo amesema wahamiaji 240 huenda walifariki kwani boti mara nyingi hujazwa watu kupita kiasi na walanguzi. Shirika la kimataifa la uhamiaji (IOM) linasema zaidi ya wahamiaji 20,000 wamefika Italia mwaka huu kufiki...
Wanasayansi wagundua kutengeza damu
- Get link
- X
- Other Apps
Wanasayansi wanasema kuwa wamepiga hatua kubwa katika uzalishaji wa damu yenye seli nyekundu kwa wingi itakayotumiwa kuwasaidia wagonjwa. Seli yekundu hutengezwa katika maabara lakini tatizo ni kiwango kinachohitajika. Kundi moja la wanasayansi katika chuo kikuu cha Bristol pamoja na idara ya damu na upandikizaji limetengeza mbinu ya kuzalisha kiwango kikubwa cha damu. Damu hiyo ya maabara itakuwa bei ya juu ikilinganishwa na damu ya kawaida. Kwa hivyo itatumiwa miongoni mwa watu wasio na aina ya damu. Mfumo wa zamani ulishirikisha kutumia kiini shina kinachotengeza seli nyekundu za damu katika mwili na kuzibembeleza kuzalisha seli kama hizo katika maabara. Hatahivyo kila seli huchoka haraka na kushindwa kuzalisha zaidi ya seli nyekundu 50,000. Mbinu iliotengezwa na kundi hilo la wanasayansi wa Bristol inalenga kuzishika seli shina mapema wakati zinapokuwa kwa wingi. Hatua hiyo hujulikana kama kuzifanya seli hizo kuishi milele. Wakati watafiti wanapozipata aina hizo ...
Iyanya - hold on
- Get link
- X
- Other Apps
iyanya 17m 453 likes iyanya Text 172 to 4100 to make #holdon your caller tune. And 104 to 5900 to get it on @musicplus_ ππ»π¨π₯ view all 10 comments xtinaagram ππππ ogbechejr ❤️❤️❤️ jamming this song since 1901 vickydoris Love you official_mana Hold on to her or to life? @iyanya Like
maneno ya Raynanny instagram kwa Chibu Dangote (Diamond Platnumz)
- Get link
- X
- Other Apps
rayvanny 1h javascript:; Click video for sound Video 4,076 views rayvanny God is Good all the time!!!! Thanks alot Oman..... Natoa Ruhusa KUMTUKANA @diamondplatnumz Pia KUMLOGA @diamondplatnumz nimesahau KUSEMA AJUI KUIMBA @diamondplatnumz Kwa sababu uchunguzi wa Kisayansi nimegundua Chuki of people is directly proportional to Nassib's MAFANIKIO.... #SALOME ilivoanza nikajikuta Naanza na Kioo hakidanganyi Kumbe niko Bongoππ view all 109 comments chollow_zungu_sneyah ππππππππππππ chollow_zungu_sneyah ππππππππππππππ josephthomasjinai Daaaah hatari xana poshy_de_prince πππππππππ
Ona matamanio ya Dogo janja
- Get link
- X
- Other Apps
dogojanjatz Singida, Singida, Tanzania 4h 4,752 likes dogojanjatz Nlitamani nitembelee shule ya SENGE niwaone wanafunzi WA SENGE niwaone Walimu Wa SENGE .. sema ndio ivoo SAFARI HATUA..π #BadmanπΉπΏ Ndani Ya Kijiji Cha CHIEF SENGE.. #Tag Wanafunzi WA SENGE WOTE... view all 294 comments pray_azontoo @marcokiluma @arnoldshayo @aleckjr @leo_dave franklyn_mg @benito23_ @mom_cbm official___pelle @nanalewinsky hahh nailah_safarali Hahaha Mungu anakuona ujue @kidoty_caldivour_ mi sijawahi kusoma hapo kabisa