Aliyemfunga mbwa wake mdomo atupwa jela miaka 5
Mwanamume mmoja raia wa Marekani ambaye alifunga mbwa wake kwenye mdomo, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela.
William
Dodson, mwenye umri wa miaka 43, anasema alimfunga mbwa huyo mdomoni
kwa sababu alibweka sana. Ililazimu mbwa huyo kufanyiwa upasuaji mara
kadha baada ya kupoteza sehemu ya ulimi wake.
Comments
Post a Comment