MADAWA YA KULEVYA JANGA KWA TAIFABOFYA HAPO
Tabia za Watu na Alama za Nyota
 Tabia za Watu na Alama za Nyota   Alama za nyota zinabashiri tabia na haiba ya binadamu katika dunia. Mpangilio au nafasi ya sayari katika mzunguko wake angani unaaminika kuleta athari kwa binadamu na matukio katika dunia.   Kuna alama 12 za kiastrolojia. Kila moja ina mvuto wa nguvu wa kipekee toka katika nyota.   Alama hizi ni kama ifuatavyo:   Samaki  (Pisces):Feb 19 – Machi 20  Kondoo  (Aries): Machi 21 – Aprili 19  Ng’ombe  (Taurus): Aprili 20 – Mei 21  Mapacha :(Gemini ): Mei 22 – Juni 20  Kaa (Cancer): Juni 21 – Julai 22  Simba (Leo): Julai 23 – Agosti 22  Mashuke (Virgo):Agosti 23 – Sept 22  Mizani  (Libra): Sept 23 – Okt 22  Ng’e  (Scorpio): Okt 24- Nov 21  Mshale  (Sagittarius): Nov 22- Des 21  Mbuzi (Capricorn):Des 22 – Jan 19  Ndoo  (Aquarius):Jan 20 – Feb 18    Makundi ya Alama za Nyota:   Alama hizi 12 za nyota zinagawanyika katika elementi 4 zijulikanazo kama:   Moto: Yenye matamanio ya mafanikio au makuu,dadisi  Maji: Yenye kubadilika ...
Comments
Post a Comment