HAFLA YA KUAPISHWA MAWAZIRI, MABALOZI, KATIBU MKUU NA KAMISHNA IKULU DAR ES SALAAM

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya kiapo Waziri Mpya wa Habari, Utamaduni, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
 Katibu Mkuu, Ikulu Alpayo Kidata akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.Kabla ya uteuzi huo Kidata alikuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
 Balozi Dkt. Abdallah Saleh Possi akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi. Balozi Dkt. Possi ameapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani.
 Balozi Job Massima akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi. Balozi Massima ameapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Israel.
 Balozi Sylivester Mabumba akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi. Balozi Mabumba ameapishwa kuwa Balozi wa Tanzania katika Visiwa vya Comoro.
 Kamishna wa Tume ya Mahakama Mhe. Jaji Stella Esther Mugasha akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi. 
 Kutoka kulia Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Katibu Mkuu Ikulu Alpayo Kidata, Balozi Dkt. Abdallah Possi, Balozi Job Masima, Balozi Sylivester Mabumba na Kamishna wa Tume ya Mahakama Jaji Stella Esther Mugasha wakila kiapo cha uadilifu katika utumishi wa umma leo Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Makatibu Wakuu  hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri wawili, Katibu Mkuu Ikulu, Mabalozi wanne na Kamishna wa Tume ya Mahakama, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya Makatibu Wakuu na Manaibu Waziri wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri wawili, Katibu Mkuu Ikulu, Mabalozi wanne na Kamishna wa Tume ya Mahakama, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache kwenye hafla hiyo
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanahabari

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makatibu Wakuu na Manaibu Waziri 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi na Mkuu wa Jeshi la polisi
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Majaji

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Mhe Kailima Ramadhani
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na waapishwa

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioapishwa katika hafla liyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili Jaji Mstaafu Harold Reginald Nsekela, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju.
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiongea na Katibu Mkuu Ikulu Mpya Mhe. Alphayo Kidata
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara yab Habari, Utamaduni, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa  Elisante Ole Gabriel na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt. Ayoub Rioba
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga gumzo na wanahabari  

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Majaji. 

Comments

Popular posts from this blog

Tabia za Watu na Alama za Nyota

BANK LAW NOTES

ADMINISTRATIVE LAW